SABABU ZA MWANAMKE KUSHINDWA KUPATA UJAUZITO
Moja ya matatizo yaliyoko katika jamii zetu na yamesababisha wanandoa wengi au wanawake wengi kukosa furaha, ni kukosa uwezo wa kupata ujauzito kwa mwanamke. Sote tunafahamu kuwa, swala la mwanamke...
View ArticleHOMONI ZA MWANAMKE NA AFYA YA KINYWA
Homoni (Hormones) ni kemikali asilia ambazo huzalishwa ndani ya mwili wa binadamu na kusafirishwa kwa njia ya damu na kusambazwa mwilini ili kutawala mifumo mbalimbali ndani ya mwili na kuufanya mwili...
View ArticleHALI YA MWANAMKE KUOTA NDEVU
Kutokana na asili katika uumbaji pamoja na ambavyo sisi wanadamu tumezoea kuona, ni kwamba ni jambo la kawaida kwa mwanamme kuota ndevu. Lakini endapo ndevu zitaonekana zimeota kwa mwanamke, basi kwa...
View ArticleMWANAMKE KUWA NA UJAUZITO FEKI “PHANTOM OR FALSE PREGNANCY”
Asili ya binadamu katika kupata ujauzito ni matokeo ya muunganiko wa mbegu (sperms) kutoka kwa mwanamme na yai (ovum) kutoka kwa mwanamke ndipo urutubishwaji hutokea na ujauzito halisi huanzia hapo....
View ArticleZIJUE SABABU ZA WAJAWAZITO KUWA HATARINI ZAIDI KUUGUA MALARIA KULIKO WATU...
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vijidudu ambavyo kitaalam hujulikana kwa jina la plasmodium, jamii hii ya wadudu imegawanyika katika makundi tofauti tofauti na kundi ambalo hasa hasa husababisha...
View ArticleMATATIZO YA URIC ACID MWILINI
Mwili wa binadamu kwa asili yake umeumbwa kwa namna ambayo viungo vyote vinaweza kufanya kazi kwa ufasaha kutegemeana na taarifa ambazo zinasafirishwa kutoka katika ubongo na kupelekwa katika kiungo...
View Article
More Pages to Explore .....